The king of a rich and peaceful town comes up with a plan that he believes will make him even richer. When things do not go the way he expects, he does not solve the problem. Instead, he lets his anger lead him to make an even worse decision. Will the king learn that greed can cost more than it gains? Mfalme wa mji wenye utajiri na wenye amani anabuni mpango ambao anaamini utamfanya awe tajiri zaidi. Mambo yanapokwenda kinyume na matarajio yake, hapati suluhu. Badala yake, anaruhusu hasira yake imfanye afanye uamuzi mbaya zaidi. Je, mfalme atajifunza kwamba tamaa inaweza kuwa na hasara zaidi kuliko faida?
Prijshistorie
* Prijshistorie bevat geen data van Amazon.
Prijzen voor het laatst bijgewerkt op: