Tarishi

Prijzen vanaf
13,50

Gesponsorde links

VERGELIJK ALLE AANBIEDERS (2)

Beschrijving

Bol Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa na majasusi, ni kwamba balozi za Marekani na Uingereza zipo hatarini kushambuliwa miaka kadhaa baadaye. Siku ambayo ilipangwa kwa muda mrefu, kuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani angetembelea ubalozi wa nchi yake jijini Dar es salaam. Mashirika ya kijasusi ya nchi hizo yanaingiwa na mashaka makubwa, kutokana na habari walizopata bomu ambalo lingetumika kulipua lingetikisa jiji zima. Ndiyo hapo sasa inabidi EASA waingilie kati suala, na inakuja kubainika chimbuko la lote ni nchini Somalia. Majasusi watatu wanatumwa huko, akiwemo Norbert Kaila wanafanya kazi yao vyema. Shida inakuja ni pale wakitaka kuondoka, na hapo mmojawapo alishagunduliwa kuwahi kufika nchini humo hasa jimbo la Juba akafanya maafa ambayo yalipelekea awekewe kisasi. Inageuka kuwa operesheni ambayo ilikaribia kugharimu maisha yake, ili kufanikisha wenzake wengine watoroke na mtuhumiwa waliyekuwa wakimsaka hasa.

Vergelijk aanbieders (2)

Gesponsorde links · Sommige shops betalen ons een vergoeding

Sorteren op:

€ 13,50 € 2,99 verzendkosten Totaal € 16,49

€ 31,71 € 1,99 verzendkosten Totaal € 33,70

Beschrijving (1)

Kwa mujibu wa taarifa zilizonaswa na majasusi, ni kwamba balozi za Marekani na Uingereza zipo hatarini kushambuliwa miaka kadhaa baadaye. Siku ambayo ilipangwa kwa muda mrefu, kuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani angetembelea ubalozi wa nchi yake jijini Dar es salaam. Mashirika ya kijasusi ya nchi hizo yanaingiwa na mashaka makubwa, kutokana na habari walizopata bomu ambalo lingetumika kulipua lingetikisa jiji zima. Ndiyo hapo sasa inabidi EASA waingilie kati suala, na inakuja kubainika chimbuko la lote ni nchini Somalia. Majasusi watatu wanatumwa huko, akiwemo Norbert Kaila wanafanya kazi yao vyema. Shida inakuja ni pale wakitaka kuondoka, na hapo mmojawapo alishagunduliwa kuwahi kufika nchini humo hasa jimbo la Juba akafanya maafa ambayo yalipelekea awekewe kisasi. Inageuka kuwa operesheni ambayo ilikaribia kugharimu maisha yake, ili kufanikisha wenzake wengine watoroke na mtuhumiwa waliyekuwa wakimsaka hasa.


Productspecificaties

Merk Mambosasa
EAN
  • 9789912421240
Maat


Prijshistorie

* Prijshistorie bevat geen data van Amazon.

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
13,50
Naar shop