Nidhamu ya Ndoto

Prijzen vanaf
15,00

Uitgelicht

VERGELIJK ALLE AANBIEDERS (3)

Beschrijving

Bol Una ndoto kubwa? Swali ni hili... Je, una nidhamu ya kuitimiza?Watu wengi wana ndoto ya kua na maisha bora.Maisha yenye mafanikio zaidi.Pesa zaidi. Amani zaidi. Uhuru zaidi.Lakini ndoto pekee hazibadilishi maisha.Kinachobadilisha maisha ni nidhamu.Nidhamu ya Ndoto ni mwito wa uamsho kwa mtu yeyote ambaye amechoshwa na kuahirisha mambo, kupoteza muda, kuishi chini ya uwezo wake, au kutazama maisha yakisonga mbele huku ndoto zake zikibaki akilini tu. Kupitia mifano halisi, mafunzo ya vitendo, na ukweli usiojificha, kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya:¿ Kuushinda uvivu na tabia ya kuahirisha mambo¿ Kujenga tabia zinazozalisha mafanikio¿ Kudhibiti muda na umakini wako¿ Kuondokana na visingizio vinavyokurudisha nyuma Hiki si kitabu cha kukuburudisha.Ni kitabu cha kukusukuma kuchukua hatua.Kwa sababu maisha unayoyaota hayajajificha kwenye bahati.Yamejificha ndani ya kazi unayoendelea kuikwepa.Ndoto zako zina thamani. Sasa ni wakati wa kuwa mtu anayezistahili.

Vergelijk aanbieders (3)

Shop
Prijs
Verzendkosten
Totale prijs
15,00
2,99
17,99
Naar shop
2,99 Shipping Costs
17,30
2,49
19,79
Naar shop
2,49 Shipping Costs
17,30
2,49
19,79
Naar shop
2,49 Shipping Costs
Beschrijving (2)
Bol

Una ndoto kubwa? Swali ni hili... Je, una nidhamu ya kuitimiza?Watu wengi wana ndoto ya kua na maisha bora.Maisha yenye mafanikio zaidi.Pesa zaidi. Amani zaidi. Uhuru zaidi.Lakini ndoto pekee hazibadilishi maisha.Kinachobadilisha maisha ni nidhamu.Nidhamu ya Ndoto ni mwito wa uamsho kwa mtu yeyote ambaye amechoshwa na kuahirisha mambo, kupoteza muda, kuishi chini ya uwezo wake, au kutazama maisha yakisonga mbele huku ndoto zake zikibaki akilini tu. Kupitia mifano halisi, mafunzo ya vitendo, na ukweli usiojificha, kitabu hiki kinakufundisha jinsi ya:¿ Kuushinda uvivu na tabia ya kuahirisha mambo¿ Kujenga tabia zinazozalisha mafanikio¿ Kudhibiti muda na umakini wako¿ Kuondokana na visingizio vinavyokurudisha nyuma Hiki si kitabu cha kukuburudisha.Ni kitabu cha kukusukuma kuchukua hatua.Kwa sababu maisha unayoyaota hayajajificha kwenye bahati.Yamejificha ndani ya kazi unayoendelea kuikwepa.Ndoto zako zina thamani. Sasa ni wakati wa kuwa mtu anayezistahili.

Amazon

Pages: 236, Paperback, Ken Haych


Productspecificaties

Merk Ken Haych
EAN
  • 9798235153301
Maat


Prijshistorie

* Prijshistorie bevat geen data van Amazon, Amazon Marketplace.

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
15,00
Naar shop