Gadi

Prijzen vanaf
13,17

Uitgelicht

VERGELIJK ALLE AANBIEDERS (1)

Beschrijving

Bol Veronica Mwalasisi, binti wa kitanzania anayesoma nchini Marekani, anajikuta matatani baada ya kupata ajali. Iliyotokea baada ya kufanyiwa akiendesha gari na kijana wa kutokea familia ya inayohusika na uhalifu. Ajali ile licha ya kumuumiza, pia iliondoka na maisha ya kijana yule kwa bahati mbaya. Suala linalozua hofu sababu mzazi wake alisifika kwa ukatili, asiyejua kama mtoto wake alikosea au la. Binti ilimbidi aondolewe Marekani, ndugu zake waliamua aondoke kwa meli. Ila aliishia kuingiwa na ukaidi, akaenda kinyume na maagizo yao. Kwa kupanda nyingine tofauti aliyoandaliwa. Asijue meli si salama, na ingeweza kusababisha mauti yake. Salama yake ikawa ni kuagizwa Gadi, ambaye alipaswa kumsindikiza. Huyo ndiye pekee alibeba tumaini la wote. Ila bado alikuja kumfanyia vitimbi, kisa alihisi alimbana. Matokeo alihatarisha kazi ya mlinzi wake, aliyemwona hafai kumbe ndiye salama kuwa naye.

Vergelijk aanbieders (1)

Shop
Prijs
Verzendkosten
Totale prijs
15,00
13,17
2,99
16,16
Naar shop
2,99 Shipping Costs
Beschrijving (1)

Veronica Mwalasisi, binti wa kitanzania anayesoma nchini Marekani, anajikuta matatani baada ya kupata ajali. Iliyotokea baada ya kufanyiwa akiendesha gari na kijana wa kutokea familia ya inayohusika na uhalifu. Ajali ile licha ya kumuumiza, pia iliondoka na maisha ya kijana yule kwa bahati mbaya. Suala linalozua hofu sababu mzazi wake alisifika kwa ukatili, asiyejua kama mtoto wake alikosea au la. Binti ilimbidi aondolewe Marekani, ndugu zake waliamua aondoke kwa meli. Ila aliishia kuingiwa na ukaidi, akaenda kinyume na maagizo yao. Kwa kupanda nyingine tofauti aliyoandaliwa. Asijue meli si salama, na ingeweza kusababisha mauti yake. Salama yake ikawa ni kuagizwa Gadi, ambaye alipaswa kumsindikiza. Huyo ndiye pekee alibeba tumaini la wote. Ila bado alikuja kumfanyia vitimbi, kisa alihisi alimbana. Matokeo alihatarisha kazi ya mlinzi wake, aliyemwona hafai kumbe ndiye salama kuwa naye.


Productspecificaties

EAN
  • 9798231528820
Maat


Prijshistorie

Prijzen voor het laatst bijgewerkt op:

Uitgelichte Keuze
13,17
Naar shop